Wanasema, mtaka cha mvunguni sharti ainame...msemo huu wa kimajazi ulidhihirika bayana majuzi, pale mwanahabari wetu zawadi mudibo alipozuru kisiwa cha lamu, ambako alikutana na wavuvi...si wa samaki, bali pweza. Licha ya changamoto zinazowakumba, biashara hii yasemekana kunoga sana hasa katika pwani ya kenya