Matayarisho ya olimpiki inazidi kupamba
moto na kamati ya olimpiki hapa nchini ilifanya kikao chake cha mwisho
hii leo na kujadili mikakati ya kujiandaa kutayarisha timu zitakazofuzu
kwa mashindano hayo yatakayofanyika mwezi julai mwaka ujao nchini
uingereza. Afisa mkuu wa shirikisho hilo stephen soi amesema kuwa
matayarisho zaidi yataandaliwa mwakani.
NOCK on 2012 Olympic preps
By Standard Digital
| Dec. 16, 2011