Halmashauri ya uwekezaji nchini Ken Invest kwa ushirikiano na wawekezaji kutoka kaskazini mwa bonde la ufa almaarufu Noric wanapania kufanya mkutano wa kwanza wa kuhamasisha wawekezaji, pamoja na kujadili nafasi za uwekezaji zilizoko kaskazini mwa bonde la ufa na jinsi ya kuwekeza kwenye mazingira hayo. Mkutano huo wa Keninvest na Noric utafanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi mjini Eldoret.
Ken invest conference - Swahili
By Standard Digital
| Aug. 18, 2011