Mfumko wa kiuchumi umepanda tena kwa mwezi wa saba mtawalia…hii ni kulingana na takwimu za utafiti kutoka shirika la kitaifa la utafiti, kenya national bureau of statistics. Kiwango cha mfumko huo sasa ni asilimia kumi na mbili nukta tisa tano, ikilinganishwa na kiwango cha mwezi jana cha asilimia kumi na mbili nukta sufuri tano. Zawadi Mudibo na taarifa zaidi.