Imesalia siku mbili kabla makubaliano ya jumuiya ya Afrika mashariki kutekelezwa rasmi tarehe moja mwezi julai siku ya alhamisi. Aidha kuna msisimko na hofu pia kwa wananchi millioni 126 wanaosubiri jinsi mapokezi yatakavyokuwa watakapowasili kwenye nchi jirani za Kenya Uganda Tanzania Rwanda na

Burundi. Isabella Kituri alizungumza na baadhi ya wafanyibiashara na wataalamu kusikia maoni

yao.