Chakita On Kiswahili
By Standard Digital
| Jan. 22, 2010
Hatua ya serikali kutoa sera ya kufanya lugha ya Kiswahili kuwa somo la hiari katika shule za msingi inaendelea kuibua hasira kuu. Hii leo chama cha Kiswahili cha taifa chakita kimeihimiza wizara ya elimu itupilie mbali agizo hilo. wadau wa kiswahili na wakenya wapenda uzalendo wamepinga hatua hiyo ya wizara ya elimu na kusema kuwa kamwe haikubaliki hata kidogo nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.