Wenyeji wa  kaunti ya Bungoma wakiongozwa na  mbunge wa kimilili Dkt. Eseli Simiyu wamepinga vikali  mradi wa kujenga bwawa la maji katika mto nzoia; bwawa ambalo lingejengwa lingeokoa  mafuriko ya mara kwa mara katika eneo la Budalang'i.