Budget reaction- Sports Stakeholders-Swahili
By Standard Digital
| Jun. 10, 2011
Wizara ya michezo imepata nyongeza ya shilingi milioni mia nne hamsini katika bajeti iliyotangazwa hapo jana. Baadhi ya wadau hata hivyo wamesema kuwa huenda fedha hizi zisitoshe katika kutekeleza mahitaji mengi ya timu, mashirikisho ya michezo na wachezaji kwa ujumla.