Kama taaluma yeyote uandishi wa habari,
pia una changamoto zake, ufanisi wake na vile vile panda shuka nyingi.
Lakini si mara nyingi, waandishi wa habari hupata jukwaa la kusema yao-
maanake jukumu lao la msingi ni kuwa sauti ya wanyonge. Uadilifu wa hali
ya juu, kusema ukweli bila ya kubinywa na kuwa wazi ni msingi wa
mwandishi yeyote wa habari. Na licha ya kuwa kenya imepiga hatua katika
uhuru wa vyombo vya habari, tishio kwa taaluma hii na vile vile
waandishi wa habari hazijasita. Ndio shuhuda waliziotoa waandishi wa
habari wa shirika la standard.
Standard group journalist testimonies
By Standard Digital
| Mar. 3, 2012