Maisha Peupe (IDP Chapati lady): 03/07/2011
By Standard Digital
| Jul. 4, 2011
Kwenye makala yetu ya kila wiki ya maisha peupe, mwanahabari Dorcas Mwangi alimtembelea Bi Eunice Wangari- mwathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu uliopita. Wangari hakukata tamaa hata baada ya kupoteza kila alichokimiliki huko mkoani Rift Valley, na kuanza maisha upya kwa kutumia mtaji mdogo wa shilingi mia moja thelathini tu; na sasa maisha yake yameimarika kiasi cha kujikimu.