Tume ya kutetea haki za kibinadamu nchini KHCR imetoa ripoti inayoashiria kwamba asilimia tisini ya wanawake wameavya mimba, hii ni kutokana na utafiti uliotekelezwa katika kitongoji moja jijini

Nairobi. N ripoti inayoangazia mambo halisi, wakati suala la uavyaji mimba likitawala katika siasa za katiba.