Hali ya usalama nchini inahofiwa baada ya mawasiliano ya polisi kupitia redio zao kukatizwa kuanzia jana jioni.Duru zinaarifu kuwa huenda vifaa hivyo vya mawasiliano vimezimwa kwa makusudi

kama pingamizi kutoka kwa polisi dhidi ya nyongeza ya mshahara wanaodai ni ndogo mno.Katika nyongeza hiyo ya mshahara iliyotangazwa na waziri Saitoti, polisi wa vyeo vya chini watapokea nyongeza ya shilingi elfu tau. Katika uchunguzi wake mwanahabari wetu Mohammed Ali alibaini tukio

hilo huku maafisa wa polisi wakiapa kuendelea kutatiza huduma zao.