Kikosi cha timu ya taifa kitakachoanza kambi kwa dimba la kufuzu barani dhidi ya guinea bissau kimetajwa.kando na hayo, viongozi wa ligi kuu tusker wameendelea kusalia kileleni katika jedwali hilo baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja dhidi ya mathare united katika mchuano wa ligi kuu uwanjani nyayo.