Why women athletes scored big in Daegu - Swahili
By Standard Digital
| Sep. 8, 2011
Mshindano ya mbio za dunia yalinakili matokeo bora sio tu kwa timu ya kenya bali pia kwa kinadada kwani kati ya medali 17 zilizonyakuliwa, 10 zilitwaliwa na wanawake. Kinadada walishinda medali 3 za dhahabu na fedha na nne za shaba hivyo basi kuwapiku wanaume kwa mara ya kwanza. Hii leo basi tunanga'mua ni kipi kilichochangia matokeo haya ya wanawake.