Mahojiano na Maina Njenga
By Standard Digital
| May. 1, 2012
Sote tunamfahamu Maina Njenga na uhusiano wake na kundi haramu la Mungiki, kundi ambalo kwa sasa amekana kuhusika nalo. Maina anakabiliwa na kesi mahakamani kufuatia kuzuka kwa vurugu kwenye kanisa lake mtaani Garden wiki iliyopita. Frank Otieno alifanya naye mahojiano ya moja kwa moja ili kubaini chimbuko la misukosuko yake mbali na madai anayoyatoa kwamba wapo watu wanaotaka kumuangamiza.