Licha ya kuwa mahakama za kimataifa zilibuniwa kutoa haki kwa wanyonge duniani, zimepokea upinzani mkubwa. Walioshtakiwa au kushukiwa kutekeleza uhalifu wa kibinadamu wamedai kuwepo kwa mapendeleo katika uendeshaji wa shughuli za mahakama hizo, na hata ile ya icc haijaponea katika madai haya. Mwanahabari wetu esther kahumbi ambaye alikuwa jijini arusha katika mahakama ya kimataifa ya rwanda alizungumza na mawakili wa utetezi na wanaelezea changamoto za mahakama za kimataifa