Ikiwa bado haijabainika ni lini haswa timu ya taifa harambee stars itachuana na Guinea Bissau kwenye mechi ya kufuzu kwa dimba la taifa bingwa bara Afrika, timu hiyo ilionekana kupendezwa na mandhari yao mapya ya mazoezi katika eneo la Karen ikilinganishawa na kambi yao ya hapo awali katika uga wa michezo wa kasarani.