Safari ya kutegua kitendawili cha tarehe ya uchaguzi kimekuwa kibarua kigumu tangu kupatikana kwa katiba mpya lakini sasa kimeonekana kuteguliwa japo limeibuwa maswali mengi na migawanyiko sio kwa wanasheria tu hata wakenya kwa jumla, na baada ya uamuzi huo sasa uwanja wa malumbano umefunguliwa na wanasiasa huku tume ya IEBC ikisubiriwa kuandaa uchaguzi wa kihistoria japo maandalizi yake yatategemea pakuu matamshi ya leo kutoka kwa wagombeaji wa urais kwa mengi.