Mwezi mmoja baada ya bomoa bomoa
iliyowaacha wengi bila makao katika mitaa ya syokimau, kijiji cha
mitumba, kiang;ombe na maasai, waathiriwa wengi wa ubomoaji huo wangali
wanakabiliana na harasa iliyowakumba. Wengi wangali wanaishi na jamaa na
marafiki waliowakaribisha, na wengine, wameshindwa kuanza upya maisha
yao, wanasema hawajui waanze vipi.
Plight of demolition
By Standard Digital
| Dec. 22, 2011