Abducted Fishermen's family plea - Kisw
By Standard Digital
| Nov. 28, 2011
Jamaa za wavuvi saba wanaoendelea kuzuiliwa na jeshi la muungano wa
afrika( amison ) nchini somalia sasa zimeisihi serikali kuingilia kati
ili wapendwa wao waachiliwe huru.wavuvi hao waliokuwa wakivua katika
eneo la pemba wanasemekana kujipata nchini humo baada ya dau lao
kuharibika na kusombwa na mawimbi hadi nchini Somalia.