Waafrika wana uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya maradh ya ukimwi, ikilinganishwa na watu wa asili zingine duniani
kama vile wazungu, wahindi na waarabu. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti nchini kemri, pamoja na chuo kikuu cha