Rais mstaafu
daniel moi amekashifu tume ya wataalam kuhusu katiba akisema kwamba badala ya
kuwaelimisha wakenya, tume hiyo imekuwa ikijishughulisha tuu na kampeni za
kuiunga mkono rasimu hiyo. moi alisema haya alipofanya ziara katika eneo bunge
la mosop
Moi Awashutumu Kamati Ya Wataalamu
By Standard Digital
| May. 29, 2010