Yaliyomo Michezoni 08.05.2011
By Standard Digital
| May. 9, 2011
Huenda kukawa na upungufu wa wanariadha katika mbio za mita mia nane siku zijazo iwapo mwendendo wa sasa wa wanariadha kuhamia mbio za mita elfu moja mia tano hautapigwa breki. Makocha na wanariadha wamekiri kuwa ushindani mkali katika mbio hiyo ndio sababu ya wengi kugura. Saddique Shaban na mengi zaidi katika makala ya wiki hii ya yaliyomo michezoni.