Kenya Cross Country team prepare
By Standard Digital
| Mar. 9, 2012
Kikosi cha mbio za nyika kitaondoka ijumaa ijayo kuelekea afrika kusini katika awamu ya pili ya mashindano ya afrika. Kikosi hicho kilizidisha mazoezi yake, wakati huu katika milima ya Ngong