Polisi mjini Bungoma wanawasaka kwa udi na uvumba watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watoto wawili wa familia moja. Kisa hicho cha kusikitisha kilitokea katika mtaa wa mukhweya wilaya ya Bungoma. Wenyeji wamehofia kuwa huenda kuna misururu ya mauaji baada ya watoto wawili kuawa wiki mbili zilizopita huyu hapa Muhammed Ali na maelezo kamili.
Mauaji Ya Watoto Bungoma
By Standard Digital
| Jul. 10, 2010
Premium
A decade at the helm: Gianni Infantino marks 10 years as Kenya features in FIFA's long-term plan
Football
30 mins ago