Daktari Hamisi Ali aliyeaga dunia nchini Cuba akiwa katika mafunzo yanayofadhiliwa na serikali ya Kenya atazikwa hapo kesho katika eneo la Shika Adabu, Likoni Kaunti ya Mombasa.