Familia za waathiriwa wa ajali ya barabarani iliyotokea huko Mbooni wiki iliyopita leo zlijumuika na wakaazi pamoja na viongozi eneo la Kangundo kwa ibaada maalum ya wafu.aidha bada hiyo ilinuiwa kuboresha mchango wa kugharamia mazishi ya wakaazi wapatao 38 waliohusika katika ajali hiyo.