Chama cha KANU kimetangaza kuwa hakitowakilisha mgombezi yeyote kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge wa Baringo Kusini, unaotarajiwa kufanyika kufuatia kufariki kwa mbunge wa eneo hilo Grace Kipchoim. KANU kimesema kuwa maamuzi hayo yaliafikiwa kutokana na majadiliano kwenye chama kufuatia hatua ya aliyekuwa mwaniaji wa KANU Charles Kamuren kuhamia chama cha Jubilee.

KANU kumuunga mkono mgombea wa Jubilee Baringo Kusini

Chama cha KANU kimetangaza kuwa hakitowakilisha mgombezi yeyote kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge wa Baringo Kusini, unaotarajiwa kufanyika kufuatia kufariki kwa mbunge wa eneo hilo Grace Kipchoim. KANU kimesema kuwa maamuzi hayo yaliafikiwa kutokana na majadiliano kwenye chama kufuatia hatua ya aliyekuwa mwaniaji wa KANU Charles Kamuren kuhamia chama cha Jubilee.

Related videos
KTN Leo