Afisa mmoja wa polisi amefariki dunia baada ya kushambuliwa na genge la watu watatu jana jioni Kisauni Mombasa. Mmoja wa genge hilo pia amefariki baada ya makabiliano kati yao. OCPD wa kisauni Sangura Musee ameilaumu hospitali ya Jocham kwa utepetevu anaodai ulipelekea kwa afisa huyo kufariki dunia.

Polisi auawa Kisauni baada ya kuvamiwa na majambazi

Afisa mmoja wa polisi amefariki dunia baada ya kushambuliwa na genge la watu watatu jana jioni Kisauni Mombasa. Mmoja wa genge hilo pia amefariki baada ya makabiliano kati yao. OCPD wa kisauni Sangura Musee ameilaumu hospitali ya Jocham kwa utepetevu anaodai ulipelekea kwa afisa huyo kufariki dunia.

Related videos
KTN Leo