Hii leo katika gumzo la kaunti mtazamaji tunazungumzia mswada wa maendweleo mseto katika kaunti ya Meru uliowasilishwa na mwakilishi  wadi ya nyaki East Robert Kithinji. Mwanahabari George Maringa amefanya mahojiano naye kuhusu mswada huo na umuhimu wake kwa wakazi wa Meru.

Mswada wa maendeleo kaunti ya Meru | Gumzo la Kaunti

Hii leo katika gumzo la kaunti mtazamaji tunazungumzia mswada wa maendweleo mseto katika kaunti ya Meru uliowasilishwa na mwakilishi  wadi ya nyaki East Robert Kithinji. Mwanahabari George Maringa amefanya mahojiano naye kuhusu mswada huo na umuhimu wake kwa wakazi wa Meru.

Related videos
KTN Mbiu