Wakaazi wa mtaa wa  Bengala huko kisauni wametamausha na kifo tata cha mmoja wao baada ya tukio la ajabu lililohusisha nyuki.. Eric Miesi alikufa jana jioni, saa 24 baada ya kujaribu kuwafukuza nyuki waliokuwa wanafyonza supu moto. Gumzo mtaani humo ni kifo cha Eric ni mazingaombwe

Man is killed by bees in bizarre circumstances

Wakaazi wa mtaa wa  Bengala huko kisauni wametamausha na kifo tata cha mmoja wao baada ya tukio la ajabu lililohusisha nyuki.. Eric Miesi alikufa jana jioni, saa 24 baada ya kujaribu kuwafukuza nyuki waliokuwa wanafyonza supu moto. Gumzo mtaani humo ni kifo cha Eric ni mazingaombwe

Related videos
Case Files