Timu ya Butali Warriors ilifufua matumaini ya kufuzu raundi ya pili ya kombe la Afrika la vilabu katika mchezo wa mpira wa magongo, baada ya kupata ushindi wao wa kwanza kwa kuwalaza polisi ya Ghana bao 3-1. Kwenye mechi nyingine timu ya Sliders ilipata pigo baada ya kulazwa na El Rufai ya Nigeria bao 5-1. 

Timu ya Butali Warriors yafuzu raundi ya pili ya kombe la Afrika la vilabu huku Sliders ikipata pigo

Timu ya Butali Warriors ilifufua matumaini ya kufuzu raundi ya pili ya kombe la Afrika la vilabu katika mchezo wa mpira wa magongo, baada ya kupata ushindi wao wa kwanza kwa kuwalaza polisi ya Ghana bao 3-1. Kwenye mechi nyingine timu ya Sliders ilipata pigo baada ya kulazwa na El Rufai ya Nigeria bao 5-1. 

Related videos
Sports

Scoreline: Chapa Dimba in Mombasa