Ulimwengu ukisherehekea siku ya wanawake, twawaletea makala maalum tukiangazia wakongwe wanaowatunza wajukuu wao baada ya binti zao kutorokea mijini.