Wapiga kura walijitokeza mapema hii leo na kushiriki kwenye shughuli ya kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa kitutu masaba huku madai ya ununuzi wa kura yakijitokeza. Kwenye shughuli hiyo aliyekuwa mbunge wa mugirango kusini omingo magara alidungwa kisu na kujeruhiwa. Frank Otieno na maelezo zaidi