G7 2012 calculations
By Standard Digital
| Apr. 15, 2011
Ajenda watakayoinadi kwa wakenya kuingia ikulu ifikapo mwaka wa 2012 ndio changamoto kuu inayoukabili muungano mpya unaojiita g7 na kuwaleta pamoja uhuru kenyatta, william ruto, kalonzo musyoka, eugene wamalwa na najib balala. Wajuzi wa mambo ya kisiasa wanasema kuwa iwapo hawatobadili mkondo wa kutumia fimbo ya icc na vita dhidi ya waziri mkuu raila odinga ....g7 inatishia kuingia katika kaburi la sahau kabla ya kinyanganyiro cha agosti mwaka ujao.