Shirika la garimoshi la Rift Valley limesitisha usafirishaji wa mizigo kutoka Mombasa kuelekea maeneo mengine kufuatia kuharibika kwa reli Mombasa. Uharibifu wanaosema umewasababishia hasara ya shilingi milioni 8.3.