PSC on MPs taxes
By Standard Digital
| Jul. 14, 2011
Tume inayoshughulikia masuala ya bunge, chini ya uongozi wa spika wa bunge Kenneth Marende imekosa kuafikiana kuhusiana na ushuru unaotakiwa kutozwa wabunge. Hata hivyo spika wa bunge ametangaza kuwa tume hiyo imeafikiana kuandaa mkutano wa ziada utakaowaleta pamoja wahusika wote ikiwemo halmashauri ya utozaji ushuru nchini.