Aliyekuwa mtangazaji maarufu Louie otieno leo amejitokeza kukana madai ya kuhusika na kifo cha marehemu careen chepchumba kiili. mwili wa careen ulipatikana katika nyumba yake huko kilimani tarehe 14 wiki iliyopita. awali ilidhaniwa amejitoa uhai baada ya dawa za kisukari kupatikana kitandani alikokuwa lakini familia ilitafuta uchunguzi wa dakitari aliyedhibithisha alikuwa amenyongwa.
Loius Otieno akana madai
By Standard Digital
| Feb. 22, 2012