Waziri wa michezo Hellen Sambili amepuzilia mbali madai kwamba Harambee Stars ilipoteza mchuano wake dhidi ya

Tunisia kwa sababu ya ndumba. Mkurugenzi wa kiufundi Patrick Naggi alikuwa amedokeza awali kwamba huenda ushirikina ulitumika na kupelekea kuduwazwa kwa

Kenya. Hata hivyo

kama alivyogundua Hassan Jumaa, wakenya bado wanaamini kwamba ndumba hizi zipo!