CIOC summons CIC Mutula -Swahili
By Standard Digital
| Aug. 5, 2011
Kamati ya bunge kuhusu katiba sasa inataka kuwepo kwa . Ushirikiano kati ya mashirika tofauti yanayoshughulikia katiba. Kamati hiyo ilielezea kutoridhishwa kwao na jinsi utekelezaji wa katiba unavyoendeshwa kwa mwendo wa upole hata hivyo kamati hiyo inayoongozwa na abdikadir mohammed ilisema kuwa ina imani kwamba miswada yote itapitishwa kwa wakati ufaao kufuatia kuchapishwa kwa miswada miwili hii leo huku miswada mengine sita ikitarajiwa kujadiliwa na baraza la mawaziri mapema wiki ijayo