Zikisalia siku sita kabla ya wenyeji wa eneo bunge la Juja kuelekea debeni katika uchaguzi mdogo wa eneo hilo, kampeni zinaonekana kufika kilele huku jukwaa hili pia likionekana kugeuzwa na kuwa la kupiga siasa za mwaka 2012.Wadadisi wanasema hii ni fursa kabambe ya kupima ushawishi hasa wa vigogo wanaowania urais kutoka mkoa wa kati na wanaowapigia upatu wagombezi mbalimbali wa kiti cha Juja, hii ikizingatiwa kuwa eneo hili limeorodheshwa kama eneo lenye idadi kubwa zaidi ya wapiga kura ikilinganishwa na maeneo mengine mkoani humo.
Kinyanganyiro Juja 1
By Standard Digital
| Sep. 15, 2010