Theme feature, insecurity hot spots

Visa vya wananchi kuporwa mali yao kiholela na kimabavu vimekithiri mno katika baadhi ya barabara na hata sehemu za makaazi. Vijana wengi wamejiingiza katika uhalifu na kwa kutumia mbinu tofauti tofauti ikiwemo matumizi ya bunduki kuwahangaisha raia na kisha kuwaibiia chochote walicho nacho wakenya. Cha kushangaza ni jinsi ambavyo uhalifu huu unavyotekelezwa, visa vingi vikitendeka karibu na vituo mbali mbali vya walinda usalama nchini. Charles ochieng' analiangazia swala hili kwa kina wakati wakenya wakiwa wanapojitayarisha kuukaribisha msimu huu wa krismasi.