Serikali Za Kaunti part 3-Swahili

Mojawapo ya matumaini ya wakenya kwa sheria mpya nchini ilikuwa ni kuweka vizingiti kwa waliokuwa wamezoa kuwapora wakenya kwa njia ya ufisadi. Katiba mpya ilipopitishwa, Mkenya alitwikwa jukumu la kuhakikisha kuwa wanaochaguliwa ni viongozi wenye maadili mema. Je Wakenya wapo tayari kwa kibarua hiki? Huyu hapa Esther Kahumbi na sehemu ya tatu ya serikali za kaunti