×
× Digital News Videos Kenya @ 50 Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Ureport Arts & Culture Moi Cabinets Fact Check The Standard Insider Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Status of Kenya National accord

By | March 1st 2011 at 00:00:00 GMT +0300

Taifa linapoadhimisha miaka 3 tangu kutiwa saini kwa mkataba wa amani mashirika ya umma yameipa serikali asilimia 43 kwa utendakazi wake katika kipindi hicho.kulingana na mashirika haya bado kuna mapungufu mengi katika kutimiza ajenda nne hususan kuhusiana na ukiukawji wa haki za kibinadamu, kutatuliwa kwa dhulma za tangu jadi na msukosuko katika serikali ya muungano ambao unadaiwa kuathiri shughuli za kuleta mageuzi katika idara tofauti serikalini.kutokana na hilo wameitaka serikali kuwajibika vilivyo kabla ya taifa kuingia kwenye uchaguzi mwengine.

Kenya National Accord raila odinga kibaki
Share this story
Previous article
Equity bank results

More stories


Take a Break

Feedback