×
× Digital News Videos Kenya @ 50 Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Ureport Arts & Culture Moi Cabinets Fact Check The Standard Insider Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mshukiwa Wa Ugaidi

By | August 18th 2010 at 00:00:00 GMT +0300

Serikali imedhibitisha kwamba Mohamed Hamid aliyetiwa mbaroni kwa kushukiwa kuhusika katika mashambulizi ya mabomu mjini Kampala Uganda mwezi uliopita yumo mikononi mwa serikali ya Uganda. Hii ni kufuatia kesi iliyofikishwa mahakamani na familia yake, ikipinga kusafirishwa kwake hadi nchini humo atakako kabiliwa na mashtaka ya ugaidi na mauaji. Kesi hiyo itarejelewe tena kesho, ambapo kamishna wa polisi na kamanda wa kitengo cha kukabiliana na ugaidi watatarajiwa kuielezea mahakama ni kwa nini mshukiwa alisafirishwa hadi Uganda.


More stories


Take a Break

Feedback