Idara Ya Polisi

Nidhamu ya maafisa wa polisi imezua hofu katika kudumisha usalama  wa taifa na kukidhi haki za bindamau. Haya yalizungumziwa katika warsha iliyoandaliwa na tume ya kitaifa ya haki za binadamu. Hata hivyo waziri wa usalama George Saitoti alisema serikali inaandaa mikakati kubadilisha tabia ya maafisa na kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa taifa.

Related Topics

Idara Ya Polisi