Ghost Mulee on liberty academy

Taxi

Hatma ya mchezo wa soka nchini inaonekana kuwa nzuri baada ya kuanzishwa kwa vyuo vya mafunzo ya soka katika maeneo mbalimbali nchini. Vyuo hivi vimekua vikitambua na kukuza talanta ya mchezo huo huku chipukizi wakipata nafasi ya kujikimu kimaisha. Moja wapo ya vyuo hivyo ni chuo cha liberty academy chini ya kocha wa zamani wa Harambee Stars Jacob Ghost Mulee ambaye anaona nuru gizani.

Athletics
Kenya hoping to defend World Cross Country title in Belgrade
Football
Fifa threatens Kenya with ban again
Unique Sports
SCHOOLS: Lenana School, Kisumu Girls and Agoro Sare turn focus on national games finals
Motorsport
Safari Rally: 29 drivers set for epic showdown as Safari Rally zooms off