Programmes
Danadana Viwanjani- Kipindi cha spoti

Danadana Viwanjani- Kipindi cha spoti

Maisha ni.....spoti! Kurunzi ya spoti ik ichanganyika na muziki uliovuma

Habari

Habari

Maisha ni Habari Tunakupa habari kila baada ya saa.

Konnect

Konnect

Kipindi cha vijana

Maisha Asubuhi

Maisha Asubuhi

Maisha ni...Asubuhi MAISHA ASUBUHI!!! Kikosi balaa kabisa! Mchanganyiko wa kicheko,siasa , masuala na muziki wa afrika wa kisasa!

Maisha Countdown

Maisha Countdown

Maisha ni ....kudunda Marequest, kugoteana ,ku-countdownna kusample muziki bomba!

Maisha Jioni

Maisha Jioni

Maisha ni...kuwajibika Tiba unayohitaji baada ya siku ndefu! Maisha drive ni story tupu na vichekesho!

Maji Makuu

Maji Makuu

Maisha ni ....mapenzi Mashambulizi ki-utu zima

Nuru Ya Lugha

Nuru Ya Lugha

Tujifunze kiswahili. TukitunzeKiswahili .

Reggae Splash

Reggae Splash

Saa tatu mfululizo ya mziki wa Reggae, ikiwemo, Roots, Culture na Riddim kutoka kwa wasanii wa humu nchini na wa kimataifa. Ras Moha na Tongola Mate watakuburudisha kwa semi zao ikiwemo historia za wanamziki maarufu wa reggae. Boombaclat!

Rumba Attencion

Rumba Attencion

Maisha ni..burudani mmmm..kwa rumba iliyofika room temperature na umbea wa wasanii wa kutoka Congo, umefika!

Safari

Safari

Jijenge kiroho na muziki wa gospel katika safari ya maisha

Staarabika

Staarabika

Maisha ni....Ustaarabu. Fahamu urembo wa maisha ndani ya Staarabika. Staarabika kikazi, jikoni, kimapenzi hadi kibiashara!