Reggae Splash

Saa tatu mfululizo ya mziki wa Reggae, ikiwemo, Roots, Culture na Riddim kutoka kwa wasanii wa humu nchini na wa kimataifa. Ras Moha na Tongola Mate watakuburudisha kwa semi zao ikiwemo historia za wanamziki maarufu wa reggae. Boombaclat!


-
15:00:00 to 18:59:00