Fredrick Muitiriri

Wengine huniita Pastor, wengine Bishop lakini ni kaka SIMPLE, mpenda watu, mcha Mungu na apendaye kutoa motisha na changamoto!
Mie ni mwingi wa furaha na wa kutosheka tu
maishani. Nawapenda watu sana!